utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mkuu, una sumu hapo????Kutona na mchakamcha wa M4C ccm imeoneka kuishiwa sera na wanachofanya ni wamesha kata roho . Kinana ambaye ni mvunaji wa Tembo aliyesomea ndo anakiongoza chama. 2 015 mjia nyeupe kwa cdm2015TZ
Wewe unaongelea viongozi waliopo, dont forget kuwa 2015 wasomi watajaa kwenye majimbo mbalimbali kutafuta ticket kuelekea mjengoni. Uchache wa bunge hili uckuchanganye. uclassless wa Sugu ni bora mara 1000 kuliko PHD ya kawambwa, Matayo, Maghembe, Nchimbi n.k. Ni heri kuwa na Mbunge mzaleondo hata kama hajaenda shule kabisa kuliko kuwa na Dr. au Professor ambaye ni kiazi na asiye na uzalendo. Be patient 2015 will tell.
wabunge wenyewe kina wenje , lisu , lema & other classless politicians kina SUGU etcl CDM kuchukua nchi watanzania itakuwa ni kama tume JUMP from the oven into the frying pan na kamwe haitakuja kutokea ... tunapenda sana nchi yetu tanzania bila udini na ukanda inawezekana... simply tusichague chadema
Kila kiongozi analalamika awe rais,waziri mkuu n.k. Kama nchi imewashindeni si mkabidhi kwa wachapa kazi.
Kulalamika katika uongozi ni dalili ya kushindwa.Huwezi kulalamika kama uko sawasawa.
Leo hii ukimuuliza kiongozi,hivi tatizo hili chanzo chake ni nini,jibu atakalokupa utashangaa anasema hata mimi(yeye) hajui,utasikia "Ooh chadema walisema nchi haitatawalika" uvivu wa kufikiri.
Waziri anaulizwa vipi hili tatizo la ajira,jibu ata sema vijana wajiajiri,as if sio waziri.Kusema wajiajiri si hata mchimba kokoto anaweza kusema hivyo? Sasa kkutakuwa na tofauti gani ya waziri na mchimba kokoto?
Nasema hivi,kiongozi anayelalamika juu ya tatizo fulani na hajui/anajua chanzo chake na wananchi analalamika tatizo hilo hilo,lakini kiongozi huyo hachukui hatua huyo ni kiongozi anayeangamiza taifa lake.
Sisi wote tunayashuhudia nchini. Maoni yangu!!
Inasikitisha, Jana Bungeni, Waziri wa fedha, Dr.Mgimwa, anakiri na kusema- Tuna rasimali nyingi lakini bado ni maskini, inabidi tuje na mkakati kabambe ili kuondoa umaskini.
dogo mbona unatutisha ?
Hii mikakati kabambe nimeisikia siku nyingi sana lkn mpk leo haujatekelezwa ht mmoja na umaskini unaongezeka kila uchao, hakuna mkakati utakaoletwa na hii serikali ukamtoa mwananchi ktk umaskini,fikiria watalii wanakuja nchini kuona vivutio vyetu wakiwamo wanyama halafu hao viongozi wanaotaka kuja na mkakati wanawaua na kuwauza hao wanyama ughaibuni,sasa hapo kweli kuna nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi na huu umaskini? viongozi wetu maneno mingi sana binafsi nimechoka kuwasikiliza.
Ulipomwita gaidi lwakatare kamanda ndio umenidhi moja kwa moja...yule ni gaidi,muuaji, mlisha watu sumu na ni shetani
Kibanda ameteswa kwa sababu ya ile makala aliyoandika akiwa tz daima kwani ilimchukiza sana mbowe na chama chake kwa ujumla
Tatizo kubwa la ccm ni ufisadi uliokithiri na kwa upande wa CDM ni udini na ukabila unaotishia umoja na mshikamano wetu. Ndugu watanzania chagueni CUF kwa ukombozi kamili wa nchi yetu na rasilimali zetu, kwa manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo. PAMOJA TUNAWEZA!