Kifo cha Bingu ni ukamilisho wa unabii wa TB JOSHUA?

Few weeks ago alisema atakufa rais wa nchi yoyote watu wakabeza, wakasema may be Mugabe, Mandela na wengneo walio wagonjwa ila nijuavyo Bingu hakuwa mgonjwa kiasi cha kutokuwepo ktk list ya makisio ya watakaokufa....sasa waliopinga na kubeza unabii ule wanasemaje?

Mtu yeyote aweza kusema siku za hivi karibuni kitatokea hiki maana kifo ni lazima awe rais au awe nani. Siku za hivi karibuni atafariki rais mwingine afrika...utabiri wangu!!!
 
Mtu yeyote aweza kusema siku za hivi karibuni kitatokea hiki maana kifo ni lazima awe rais au awe nani. Siku za hivi karibuni atafariki rais mwingine afrika...utabiri wangu!!!

We ni hodari wa kutabiri... We ni kama Sheikh Yahya Hussein..

Sasa TBJoshua tofauti yake na yako,ni kwamba,yeye anaona/anaoneshwa na Mungu wake(kama video) juu ya mambo mbalimbali..kabla hayajatokea..

Alitaja dakika halisi ya Drogba kukosa penati... Na kumtaja mshindi...(na hiyo ni masaa mengi siku hiyo kabla ya mechi!)

Alihadithia juu ya mabomu ya Al Shabaab Kenya,kifo cha Michael Jackson,na mengine mengi! Na aliomba watu waombe juu ya Kenya!
 
Back
Top Bottom