Kifo cha Baby Lawyer wa UDSM mwaka 2011

Sasa si angetoka nje tu akae sehemu iliyotulia kuliko chooni,atakuwa alirogwa
 
Those were the days.Yule mshkaji kifo chake kiliumiza watu wengi sana.

Anyways enzi za Daruso Bar walevi walikuwa wana nguvu sana kwenye mambo ya siasa na harakati za chuo.

Yani ilikuwa walevi wakikukubali tu basi umekubalika chuo kizima
Aliyemgonga alikamatwa?
 
wakati mwingine ulevi raha sana, nakumbuka kuna jamaa yangu alilewa sana tukambeba mpaka home kwao.

Kumuona mama yake akamsalimia kwa adabu zote, kufika kwa mzee wake anamuuliza mama yale kwamba ' hii sura ya huyu mzee si ngeni, nimewahi muona sehemu" maza ni kusikitika tu.

sitasahau mchizi wangu akilewa yeye analala chini ya uvungu kutafuta ka ubaridi kupunguza pombe.
 
Nilikaanae block c mabibo tukiwa mwaka wa mwisho pamoja na akina culture na marehemu Njau, Njau yy alipata ajar Dom, zn baada ya muda sio mrefu Baby lawyer nae akapata ajari. Shukran sana kwa kumkumbuka hyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…