ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,714
- 28,268
Story yako imenisikitisha sana...Na ndio maana kama ulinisoma tangia awali nilisema kuwa aidha alifanya siri ya kuaibika kudondoka mbele za watu ndio maana akaenda msalani.
Na mama yake mzazi alisema tangu asubuhi siku ya harusi yake, mwanae hakuwa na raha, mama alijua kwanini ila mtoto kwa kuepuka kufedheheka ndio maana alikimbilia msalani.
Alijua kinachotaka tokea