secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,187
- 28,244
R.I.P my brother Ayatollah,
Baada ya Osama Bin Laden na Saddam Hussein kuuawa mtu pekee ambaye nilikuwa namhusudu alikuwa Ayatollah.
Baada ya kusikia kifo Cha Ayatollah nimepoteza nililia sana Kwa sababu sioni kama Kuna mtu atavaa viatu vyake.
Akitokea mtu wa kuvaa viatu vya Ayatollah/Osama bin Laden/Saddam Hussein au Hitler n.k., nitafurahi sana maana mimi napenda sana kuona dunia ikitingishwa na wababe.
Nikiona hajatokea yeyote mtingidha Dunia basi secretarybird naingia navaa viatu vya Ayatollah ama mmoja ya wababe niliowataja hapo juu.
Nataka mniombee 😎.