Kifo cha Ayatollah kimeniuma sana

Kifo cha Ayatollah kimeniuma sana

Kwa nini kimekuuma?
Napenda kiongozi anayejiimarisha kivita na kuweka heshima ya kiuongozi kuanzia Ngazi ya juu mpaka chini, kitu ambacho kwa sehemu amekifanya vyema japokuwa sio kwa usahihi wote.

Pia kingine aliweza kutumia rasilimali za Iran kufaidisha Iran....pamoja na vikwazo vyote ila ni miongon mwa taifa linalopewa uzito ndomaana unaona israel na marekank wote wameungana ili kumpiga ila bado haijawa rahisi kwao.

Kama unahisi ni kitu cha kawaida marekani na israel kuvamia basi fikiria ikitokea wamevamia afrika unafikir watachukua muda gani kuweka nchi zote chini yao ?
 
Umeongea vizuri sana mkuu 👏.
 
Back
Top Bottom