ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa.
Askofu Mayalla, ameaga dunia. Mazishi yake ni Jumatano. Tunasikitika kumpoteza. ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa.
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za kumzuia Askofu huyu kuwa Askofu Mkuu. Sababu nyingi na za msingi tulizieleza wakati wa kumsaka Askofu mkuu wa jimbo la Tabora. Mengi halijitokeza hadi mtoto wake Mkunde wa kule Maji ya chai Arusha.
Sababu mpya ni ile ya ukabila. Wakati wa uchaguzi mdogo wa Biharamulo, Askofu Severine, alihubiri makanisani na kuwashawishi watu wasimchangue Mkukasa, kwa vile si mzaliwa wa Biharamulo. Ukabila kama huo, hauwezi kumruhusu kwenda Mwanza, ambako hakuna wasubi. Kule ni Wasukuma, wakelewe, wajita na mchanganyiko wa makabila mengine mengi.
Ujumbe huu ni wa watu wa Mwanza na watanzania wenye nia njema, kumkataa kwa nguvu zote Askofu Severine Niwemugizi. Ni bora dunia yote ikafahamu kwamba Askofu huyu ni mkabila.
Mungu, amlaze mahali pema Askofu Mayala!
Unafahamu mchakato ambao Kanisa Katoliki hufuata ili kumpata Askofu Mkuu?
Hii mesage yako imeniacha mdomo wazi. Ninavyojua ni kuwa uchaguzi wa askofu anaufanya papa na sio mtu mwingine. Inawezekana baadhi ya wakuu wa kanisa kutoa recommendation ila decision ya mwisho ni ya papa mwenyewe.Askofu Mayalla, ameaga dunia. Mazishi yake ni Jumatano. Tunasikitika kumpoteza. ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa.
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za kumzuia Askofu huyu kuwa Askofu Mkuu. Sababu nyingi na za msingi tulizieleza wakati wa kumsaka Askofu mkuu wa jimbo la Tabora. Mengi halijitokeza hadi mtoto wake Mkunde wa kule Maji ya chai Arusha.
Sababu mpya ni ile ya ukabila. Wakati wa uchaguzi mdogo wa Biharamulo, Askofu Severine, alihubiri makanisani na kuwashawishi watu wasimchangue Mkukasa, kwa vile si mzaliwa wa Biharamulo. Ukabila kama huo, hauwezi kumruhusu kwenda Mwanza, ambako hakuna wasubi. Kule ni Wasukuma, wakelewe, wajita na mchanganyiko wa makabila mengine mengi.
Ujumbe huu ni wa watu wa Mwanza na watanzania wenye nia njema, kumkataa kwa nguvu zote Askofu Severine Niwemugizi. Ni bora dunia yote ikafahamu kwamba Askofu huyu ni mkabila.
Mungu, amlaze mahali pema Askofu Mayala!
Pengine aliyetoa mada ana analolificha maana sijamuelewa kabisa. au kuna makundi yaliyopoteza maslahi kwa kifo cha Askofu nini? Au ndo kumpigia debe kiaina huyo askofu anayemtaja?Nafikiri hafahamu.It will take time kumpata askofu pale hasa ukizingatia kuwa alikufa ghafla na hawakuwa na clue!!! The process itself balaaaa. Mleta mada aulize aambiwe!
Mnanishangaza! Kana kwamba mnaishi mwezini? Hakuna cha roho mtakatifu wala Papa. Uchaguzi wa maaskofu ni siasa kama siasa za kawaida. Ni kweli kwamba Askofu Mayala, alikuwa mgonjwa siku nyingi.Watu wamekuwa wakiiangalia kiti chake kwa hamu. Mbona hili ni jambo la kawaida? Hata kule Geita, yule Askofu, alichaguliwa kwa vila alikuwa na ujamaa na Mgurunde.Ukweli ndo huo!
Askofu Severine Niwemugizi, amekuwa kisubiri kuwa Askofu Mkuu na pengine Papa. Huyu ni mtu mwenye tamaa na uchu wa madaraka. Mtashanga kusikia anateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Mwanza. Kama mnafikilia Msonganzila, mmeotea njia. Labda angekuwa Balina, ila na yeye anaumwa! Ukweli ndo huo. Kwanini wasiumwe? Wanaishi dunia hii na maisha yao ni sawa na ya kwetu!
Askofu Mayalla, ameaga dunia. Mazishi yake ni Jumatano. Tunasikitika kumpoteza. ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa.
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za kumzuia Askofu huyu kuwa Askofu Mkuu. Sababu nyingi na za msingi tulizieleza wakati wa kumsaka Askofu mkuu wa jimbo la Tabora. Mengi halijitokeza hadi mtoto wake Mkunde wa kule Maji ya chai Arusha.
Sababu mpya ni ile ya ukabila. Wakati wa uchaguzi mdogo wa Biharamulo, Askofu Severine, alihubiri makanisani na kuwashawishi watu wasimchangue Mkukasa, kwa vile si mzaliwa wa Biharamulo. Ukabila kama huo, hauwezi kumruhusu kwenda Mwanza, ambako hakuna wasubi. Kule ni Wasukuma, wakelewe, wajita na mchanganyiko wa makabila mengine mengi.
Ujumbe huu ni wa watu wa Mwanza na watanzania wenye nia njema, kumkataa kwa nguvu zote Askofu Severine Niwemugizi. Ni bora dunia yote ikafahamu kwamba Askofu huyu ni mkabila.
Mungu, amlaze mahali pema Askofu Mayala!
Mutekanga,
Hili jina limekaa ki Karagwe karagwe, Je wewe ni Padri Karugendo? Kama siyo lazima mnacommunicate believe me or not?
Anyway, nikuunge mkono, kwamba kama yaliyosemwa nyuma na Karugendo ni ya kweli basi Niwemugizi hastahili hata huko aliko!
Unamuweka wapi Fr. Nkwande huyu jamaa anafaa sana na alikuwa karibu sana na Marehemu Mayalla huyu ndo atachukua kiti lakini tumuachie mwenyewe Papa.kimsingi ni hivi!
mchakato huwa ni mrefu sana, kuna mapendekezo ambyo huwa yanatoka kwa maaskofu then yanakwenda vatikani kwa papa.lakini papa ndo msemaji wa mwisho.
alichokisema huyu jamaa kina ukweli flani ila sema kakosea namna ya kukiweka.kuna mapadre wenye uchu na kupata uaskofu tena sana. mi nakumbuka wakati niko seminari kulikuwa na mapadre wanapiga jaramba ya namna ya kutembea na fimbo wakai wa mchakato wa kumpata askofu wa jimbo la geita. papa aliwaacha midomo wazi akateua mwingine kabisa DAmian dennis dallu, akiwa na miaka 42 tu. kwa jimbo la mwamza toa nihame nchini kulikwa na mapadre wenye sifa wachache kama vile pd Bilingi. kuna wengine waliingia wito wa upader kama kimbilio la wakosefu na hawa ndo huwa wasumbufu sana
Unamuweka wapi Fr. Nkwande huyu jamaa anafaa sana na alikuwa karibu sana na Marehemu Mayalla huyu ndo atachukua kiti lakini tumuachie mwenyewe Papa.[/QUOTE]
Ebwana ee, kama vile ulikuwepo kwenye mawazo yangu. Fr Nkwande is the real choice ya wana mwanza though uamuzi wa mwisho tunamwachia pope. kwa kifupi huyo Nkwande ni clean angalau huwezi kumlinganisha na mapadri wengine hasa wa mwanza.hana makuu kama vile pd bilingi au akina kubeja na wengineo, alikuwa Rector wangu pale nyegezi seminari.
At last, tungojee uamuzi wa His Holiness, Pope Benedict.