Kifimbo Cha Mwalimu Nyerere!!

Ebu mwacheni mzee wa watu apumzike panapomstahili kama peponi basi ale raha zake na kama jehanamu basi aungue sawa sawa sisi hayatuhusu. Tufanye yetu ya Nyerere hayatuhusu
 
Thibitisha kama ni kweli ile fimbo haikuwa mpingo ila jini

Kama kweli,

Watu wote washindwi kukabeba kafimbo kadogo ila yeye Nyerere tu ndio aweze kukabeba kafimbo hako, wee hauni kama huo ni uchawi? (sio kawaida)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom