Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

Status
Not open for further replies.

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
safe_image.php

Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda Bunge la katiba
 
Wasifu wake ! Asije kuwa kama Anna Makinda/ Ndugai! kuipendela CCM, after all naye si anatoka CCM
 
Huyo ni janga la kidunia. Hilo ni bunge la katiba ya CCM tu...

Kuna kila dalili tutaandika katiba nyingine ndani ya miaka mitano. Pandu Amiri Kificho ni janga la kidunia
 
hebu tupatie chanzo cha habari yako usije ukawa unabip presha zetu bure!!
 
Mwenyewe ana misimamo mikali ya kiccm na huwa ni controversial figure.
 
safe_image.php

Pandu Omar Kificho, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda Bunge la katiba

Mkuu rekebisha jina lake ni Pandu Ameir Kificho.

Huyu ni Mh. Supika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Itakuwa imekula kwa raia hii maana jamaa ni CCM huyo!!!!
 
Uongo sijui Ndo chakula chenu? AMETEULIWA SAA NGAPI WAKATI UTEUZI UTAKUA SAA9?
 
Jamani mnacharuka bure. Huyu Kificho ameteuliwa kusimamia utungaji kanuni na taratibu za bunge la kutunga katiba na mwishowe atasimamia kuchaguliwa sasa Mwenyekiti na Makamu Mwnyekiti wa Bunge hili hilo. Kazi yake itakwisha ijumaa. sioni haja ya kupandisha presha kwenye hili.
 
Majitu ya Tz itazid kuwa makin kwa kuwa na akil kama hizi
 
Jamani mnacharuka bure. Huyu Kificho ameteuliwa kusimamia utungaji kanuni na taratibu za bunge la kutunga katiba na mwishowe atasimamia kuchaguliwa sasa Mwenyekiti na Makamu Mwnyekiti wa Bunge hili hilo. Kazi yake itakwisha ijumaa. sioni haja ya kupandisha presha kwenye hili.
nashukuru mkuu kwa taarifa,kisukari kilishapanda mie
 
sina imani nae hata punje

Lazima uwe na imani nae, maana wawakikishi wako ktk bunge la katiba ndio walio mpa nafasi ya uenyekiti, hajawalazimisha na ni kws muda tu chochote chaweza tokea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom