Hii ni lugha ya picha ambayo inaonesha watu wamesubiri katiba kwa muda mrefu. Na walitegemea itatoka kama ambavyo wao wanadhania itakidhi matakwa yao angalau kidogo lakini matokeo yake kimetokea kitu cha ajabu tofauti na walivyokuwa wanafikiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.