kifahamu Kitengo No.731 huko Japan.

Tunaisubiri mkuu...zinatufundishq kuwa sisi ni wapitaji hao na kuua kote huko na wao hawapo wamebakia historia
Kabisa ni kama mamlaka na vyeo vinawapofusha fikra zao.
 
Hatari sana. Hivi hapa kwetu hatujawahi fanya tafiti za kibabe?
 
Unamzungumzia Dr Mengele aka Death Angel sio yule mnazi alikua mshenzi kweli kweli nae
 
Hii imekaa vzr MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ukatili wa hali ya juu aisee..
Tushkukuru Mungu tumezaliwa kipindi dunia imestaarabika na huu utandawazi...mashirika ya kimataifa y kutetea haki za binadamu nayo pia yanasaidia
Hello Palestine,Gaza
 
Anachofanya Israel kina tofauti gani na wajapan na wajerumani ?
 
Netanyahu anaua leo sio ni hii hii 2025 hakuna kilicho badilika watu ni wale wale
 
Ukatili wa hali ya juu aisee..
Tushkukuru Mungu tumezaliwa kipindi dunia imestaarabika na huu utandawazi...mashirika ya kimataifa y kutetea haki za binadamu nayo pia yanasaidia
Macho bluu hawajaamua kukubadilikia hakuna organization's yy inayoweza kukutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…