Kawaida sana.So watafiti waliua
Matusu hayo .....kupanua siyo lugha fasahaNarudi mkuuu asante sana
Tupanue akili
Msyuuu...njoo nikupanue uone...
Mimi sijaamanisha hivyo buana nikupanue mawazo
Unamzungumzia Dr Mengele aka Death Angel sio yule mnazi alikua mshenzi kweli kweli naeSobibor.. Hakika mambo yalikuwa yanatisha sana kwenye hizo kambi za mateso. Wajerumani walifanya kufuru za aina zote kwenye hizi kambi huko ulaya.. hata huyu dr niliyemwelezea hapa aliyoyafanya ni cha mtoto. Ngoja tu nikipata wasaha na uzima nikikamilisha nita share humu. Ni ndefu sana.
Zipo mkuu ila sio nzuriKawaida sana.
Unadhani tafiti zenye kuangamiza haziendelei duniani?
Hello Palestine,GazaUkatili wa hali ya juu aisee..
Tushkukuru Mungu tumezaliwa kipindi dunia imestaarabika na huu utandawazi...mashirika ya kimataifa y kutetea haki za binadamu nayo pia yanasaidia
Anachofanya Israel kina tofauti gani na wajapan na wajerumani ?Yamesaidia pakubwa ... kuna stori nitaipandisha humu siku si nyingi nikimaliza kuikamilisha kwa yale yaliyokuwa yakiendelea Ujerumani chini ya utawala wa Nazi dhidi ya wafungwa wa kivita . Hakika acha tu haya mashirika y kutetea haki za kibinadamu yawepo tu.
Netanyahu anaua leo sio ni hii hii 2025 hakuna kilicho badilika watu ni wale waleNimegundua kumbe zamani kulikua na ukatili wa hali juu...na depopulation kubwa ilitokea kwny mauaji...na si vinginevyo....mfano vita...mauaji ya watu kama hivyo ya watu binafsi kama huyo daktari na jopo lake.....
Au anatokea tuu kiongozi katili yeye ni kuua tuu...yani ukienda kinyume na mambo yake ni kifo....mfano Hilter...Idd Amin...na wengine wengi ...
Hahaaaa, sio nzuri kwako kwa sababu hunufaiki nazo.Zipo mkuu ila sio nzuri
Macho bluu hawajaamua kukubadilikia hakuna organization's yy inayoweza kukuteteaUkatili wa hali ya juu aisee..
Tushkukuru Mungu tumezaliwa kipindi dunia imestaarabika na huu utandawazi...mashirika ya kimataifa y kutetea haki za binadamu nayo pia yanasaidia
Najifanya hakuendelei kitu au ndio wanamasikio ila hawasikii au macho lakin hawaoniHello Palestine,Gaza
Hatari hii mkuuHahaaaa, sio nzuri kwako kwa sababu hunufaiki nazo.
Wanaonufaika nazo huwambii kitu.
kiufupi kuna watu wanafanya lolote ili kufanikisha manufaa yao.