KIA hakuna cold storage facilitiesNimekaa Arusha miaka mingi kikazi na eneo la Arumeru kina ma Lab hall makubwa ambayo ni mashamba makubwa ya maua.
Cha ajabu maua Karibu yote yanasafirishwa kupitia kiwanja cha ndege cha Kenya Jomo Kenyatta wakati tuna kiwanja kizuri tu pale Kilimanjaro cha KIA
Tatizo ni nini KIA haitumiki kusafirisha maua kwenda Ulaya kutoka mashamba ya Arusha?
Niliwahi kusikia tuna wataalam wachache wa air yaani Air Technicians!! Ilitolewa na Waziri Prof Mbarawa!
Usafirishaji wa maua sio wa leo wala Jana lakini kwanini wataalam wameshindwa kutumia KIA kwani Kuna upungufu gani kiwanjani hapo!?!
Au kuna watu wana maslahi na usafirishaji hayo maua huko Kenya?
Ndugu mleta Uzi kwanza nataka nikufahamishe Kia in uwanja pekee Africa kama siyo duniani was ndege ambao unamilikiwa na mwekezaji ambaye in Kadco na Hugo mwekezaji amekuwa akicharge landing fee kubwa kuliko hata Jkia hivyo ndege nyingi zina land Nairobi kukwepa excessive charges.pili hayo maua unayosema hayawezi kujaza hata nusu ya ndege ya mizigo hivyo inaitajika mizigo ya kujaza ndege.na mwisho Kia hakuna facility za Ku hold maua kama cold room ambayo inaweza kukeep maua freshly . Natumaini umenielewa
au na hapo tumwite raisi aingilie kati alafu tudaiwe fidia
Kwahiyo Kuna u muhimu wa kuwa na Shirika la ndege la nchi husika kuwa strong ili kusaidia hata biashara kama hizi.
Tutampeleka Kabuditatizo hapa lipo na jibu lake hata wewe mtoa hoja unalo,serikali yetu bado ipo nyuma mno katika kutengeneza mazingira ya kuwafanya raia wake wawe na uwezo wa kufikia malengo yao ya kujiendeleza,tembelea pale KIA na sio rocket science angalia huduma zao ,na chunguza hilo suala la maua je wana mazingira yanayoruhusu biashara hiyo kufanyika,mfano je wana fridges zinazokidhi utunzaji wa maua,je fumigation yao ipo vipi?customs inasaidia na kushauri wafanya biashara hiyo ya maua,ukipata majibu then utaelewa why maua ya Arusha yanapelekwa kwanza Kenya,au why machungwa ya Muheza yanavushwa Kenya kwanza kabla ya kupelekwa Dubai;masuala ya uchumi wa nchi ikiingiza siasa za uchwara matokeo yake tutayaona muda sio mrefu.
Hebu kuwa specific...ni kodi zipi hizo?
Kwani izo Cold Room {[emoji300]} ni bei ngapi mpaka KIA washindwe kuwa nazoNdugu mleta Uzi kwanza nataka nikufahamishe Kia in uwanja pekee Africa kama siyo duniani was ndege ambao unamilikiwa na mwekezaji ambaye in Kadco na Hugo mwekezaji amekuwa akicharge landing fee kubwa kuliko hata Jkia hivyo ndege nyingi zina land Nairobi kukwepa excessive charges.pili hayo maua unayosema hayawezi kujaza hata nusu ya ndege ya mizigo hivyo inaitajika mizigo ya kujaza ndege.na mwisho Kia hakuna facility za Ku hold maua kama cold room ambayo inaweza kukeep maua freshly . Natumaini umenielewa
OK nadhani watakuja na mpango mikakati mzuriHIlo ndilo ambalo Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) chini ya Bwana Hamza Johari wanakutana sasa kujadili
Wadau wa usafiri wa anga watakutana kwa siku mbili mjini hapa kujadili mambo mbalimbali, ikiwemo namna ya kuufanya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kuwa njia panda ya usafiri wa anga.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema leo Jumatatu kuwa, mada tisa zitajadiliwa miongoni mwa hizo zikiwa ni kupungua kwa shehena ya mizigo katika sekta hiyo, udhibiti wa matumizi ya ndege zisizo na rubani na ukaguzi wa viwango vya kimataifa.
TCAA kwa kushirikiana na wadau wa usafiri wa anga wameandaa kongamano la siku mbili kuanzia kesho kujadili namna ya kuiinua na kuiboresha sekta hiyo.
Kongamano hilo lenye kauli mbiu ‘Kupeleka juu sekta ya usafiri wa anga’ litafanyika mjini hapa na litazinduliwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa.
"Kongamano hili litatusaidia kujua wapi tunakosea na kuibua mpango mkakati wa namna ya kusahihisha makosa hayo. Ili nchi iweze kufikia lengo la kuwa na uchumi wa kati ni lazima kila sekta ifanye mambo muhimu," amesema Johari.
Amesema wadau wa sekta watazungumza na wao watajitathmini kila mmoja kwa nafasi yake na baadaye watachukua hatua itakayowafikisha mahali wanapotarajia kufika.
"Kwa mujibu wa Shirika Usafiri wa Anga la Kimataifa (ICAO), katika ukaguzi na udhibiti wa viwanja vya ndege tumepiga hatua kutoka asilimia 37.8 mwaka 2013 hadi asilimia 64.4 mwaka huu na tunapaswa kuendelee juu zaidi," amesema Johari.
KLM...Amsterdam-KIA-JNIA- Amsterdam..KLM hizo ni ndege za Nederland's au Uholanzi. Zikitoka JKIA zinatua moja kwa moja Ulaya, haziitaji tena connection. Lakini ikija KIA inaweza ikarudi tena JNIA, lakini lazima iende Johs au Nairobi kufanya connection ndio iondoke moja kwa moja.
HUYU HAJUI ZILE ZINAITWA GREEN HOUSES ILA NI MTAALAM KWANI AMEYAITA MAUKUMBI MAABARA. MJANJA SANA SAFII KWANI ANAONA WATU WANQVYOZUILIWA KUINGIA HOVYO NK"ma lab hall" , ndo nini?
Ndio hivyo hivyo, hizi simu janja, na tunaandika tukiwa na mambo mengi kichwani!!Ni Heathrow bro Na sio health law
We jamaa health law ndio nini?Acha ujinga wewe, Jomo Kenyeta International Airport ni ya 100 kwa huduma za ndege duniani. Kila baada ya dk 15 ndege 4 kubwa zinashuka na 4 zinapaa kila siku. Oriva Tambo Johs wenyewe kila baada ya dk 15 ndege 10 zina land 10 zina take off. Uwanja unaongoza kwa shughuli duniani ni Health law International Airport. Kila baada ya dk 15 ndege 50 zinaland 50 zina took off. Sasa ndio unaweza kuufananisha na KIA au? Ikiwa hata DIA wenyewe hauifikii JKIA.
Nilirudi kwenye point yako ya kijinga, KIA ina ndege ya moja kwa moja kwenda Abroad pale, au unajua yale maua yanaenda kuuzwa Kisumu nini? Acheni chuki na wivu wa kitoto, eti ukiongea hivyo basi nani unategemea asikie eti aulize au akataze kupeleka JKIA utakufa maskini ndugu yangu, kama hata vitu vidogo hivyo vinakusumbua.
Nakumbuka mwaka 2009 nilipita pale nikakuta kuna Ethopia Air... Kuna wahudumu wa pale tukawa tunawauliza maswali..... Kuhusiana na uwezo wa huo uwanja kupokea ndege kubwa wakatuambia mwisho wa ndege kubwa kushuka hapo inabeba watu 700, zaidi ya hapo zinashukia dar sijui kama walikuja kuupanua, au ndiyo hizo walizo zitaja hapo juu 777 na airbuss etc....KIA ina uwezo wa ku accomodate B777 na zaidi....
Umepanuliwa...una uwezo wa Kuchukua B747 na Ant 124 na A380..KLM kwa sasa wanaleta B777...nadhani KIA runways ni kubwa kuliko JNIA..Nakumbuka mwaka 2009 nilipita pale nikakuta kuna Ethopia Air... Kuna wahudumu wa pale tukawa tunawauliza maswali..... Kuhusiana na uwezo wa huo uwanja kupokea ndege kubwa wakatuambia mwisho wa ndege kubwa kushuka hapo inabeba watu 700, zaidi ya hapo zinashukia dar sijui kama walikuja kuupanua, au ndiyo hizo walizo zitaja hapo juu 777 na airbuss etc....
Nakumbuka Kuna ushauri fulani aliwahi kuutoa Mh Mbowe kuhusu uwanja wa KIA.KIA beaurocracy ni kubwa na airlines zinazotua hapo kwa time yakusafirisha c rafiki Kenya airline's ni nyingi na ni za direct hakuna mtu anataka kufanya biashara kichaa watalii wenyew wanatumia Kenya kuja Tz
ubinafsi na ujinga wa viongoz wetu ndo chanzo wanajua na kuona KIA geographical ni nzuri kuliko JKNI kiuchumi kwanini wasiiprove standard ya KIA ifanane na Jomokenyata tuwe na direct flights nyingi kama kenya eti anaenda kujenga chato shit flights zitaenda kusafirisha viazi uko bora hata angeifanya mwanza airport ikawa kwenye standard nzuri