balwani
Member
- Jan 8, 2019
- 34
- 20
- Thread starter
- #41
Kila mwenye maswali asome kwenye maelezo hapo juu utaona ufanisi wake, nimekuwa nikikitumia na kimekuwa kikifanya kazi kama kilivyoelezwa.
Wakati feni zinaingia tuliambiwa hivohivo!! kama ingekuwa kweli tayari wizara ya afya ilishawapa mama wajawazito clinic.