Kifaa kinachoua mbu na wadudu wote warukao

Kifaa kinachoua mbu na wadudu wote warukao

Ni kifaa kinachotumia umeme kidogo sana, unapokiwasha taa zinazowaka kwenye kifaa hicho huwavutia wadudu warukao na mwisho wa siku huzifuata, wanapozikaribia huvutwa na feni na kuuliwa.
Hiki kifaa kinaitwaje na kinafanyaje kazi?
 
Pessimists....device kama hizi hata mahospital makubwa yanatumia and they work
Ni biashara tu. Device zingekuwa na ubora unaodaiwa watu wasingehangaika kufunga neti na kupuliza dawa. Navijua sana hivyo vifaa lakini huwa vinaua mbe wachache tu na wengine wanaendelea na tenda kama kawa.
 
Kinaua MBU na unapokitumia asubuhi utakuta MBU wengi wamekufa unaenda kuwamwaga.

Mbu ana tabia tofauti na wadudu wengine kwake mwanga sii kipaumbele kama ilivyo kwa kaka yake kunguni. Kwao wanandugu hao ni kunusa damu ya binadamu ipo wapi na kuutafuta mshipa na kuanza kujinyonyea. Hulo likifaa labda linase wale wadudu wanaoliwa na wahaya maana ndio washamba wakiona mwanga wanaukimbilia kama mbwa amkimbiliavyo chatu
 
Kinaua MBU na unapokitumia asubuhi utakuta MBU wengi wamekufa unaenda kuwamwaga.
Sijakataa. Ni wale wachache wanaokuwa attracted na ule mwanga. Lakini pia kuna wengi kabisa ambao wanakwepa na kuuma binadamu.
 
Kifaa cha kuulia MBU ndio jina lake na nimeelezea kinavyofanya kazi mkuu.
Nililuliza kutaka kujua kinawezaje kuua mbu, unaweka dawa ya kuwavuta waje kwenye hicho kifaa au? kwasababu mbu anataka damu, nini kitamfanya amuache mtu aende kwenye huo mtego?
 
Wakati feni zinaingia tuliambiwa hivohivo!! kama ingekuwa kweli tayari wizara ya afya ilishawapa mama wajawazito clinic.
 
K
Nililuliza kutaka kujua kinawezaje kuua mbu, unaweka dawa ya kuwavuta waje kwenye hicho kifaa au? kwasababu mbu anataka damu, nini kitamfanya amuache mtu aende kwenye huo mtego?
Nikikuwekea na mifano naona utanielewa zaidi
Screenshot_20190527-130315.jpeg
Screenshot_20190527-130333.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom