The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Mzuqa
Sisemi sanaaaa. Nimekufa maamae!
Sisemi sanaaaa. Nimekufa maamae!
***** Usije ukwa umekutana na Wapopo wanaookota picha za warembo na kuziweka ktk dating site wakupige hela ndo kichwa kitulie all the best
Kabla tukutane tumeongea kwenye video chat viber na whatsap. Na sasa hivi ni mwenyej wangu. Acha kumdharau weweee***** Usije ukwa umekutana na Wapopo wanaookota picha za warembo na kuziweka ktk dating site wakupige hela ndo kichwa kitulie all the best
ingia twoo.comMkuu Jon Stephano ni dating site ipi ambayo ni free? Haina mashart pia ni uhakika kuopoa mizigo
Mkuu ngoja nikupe tips za kuwakamata waongo kwenye datingsites ambao wanaweka picha siyo za kwao hasa wa westo africa mapopo na pakistani huko. Wewe ukishajuana naye mpe tu whatsapp ama viber umuambie aje video chat akigoma ujue ni scam Delete kabisa***** Usije ukwa umekutana na Wapopo wanaookota picha za warembo na kuziweka ktk dating site wakupige hela ndo kichwa kitulie all the best
Dadekii hapo uchomoki
Mkuu richard juzi Behaviourist alikuwa anauliza mbona mda mwingi niko hewani na ninajinasibu humu napiga masaa mengi boksi.Vunja mifupa kijana.
Ila kwa hiyo ya Mogadishu utalelewa kwa uzuri hapo.
Kazi na dawa.
🙂🙂
Yani kwa mogadishu tatizo dini ila nomemuweka vizuri yeye anataka tu aje ulaya. Video chat hadi anavua hijab maamaeMkuu ngoja nikupe tips za kuwakamata waongo kwenye datingsites ambao wanaweka picha siyo za kwao hasa wa westo africa mapopo na pakistani huko. Wewe ukishajuana naye mpe tu whatsapp ama viber umuambie aje video chat akigoma ujue ni scam Delete kabisa
Mkuu richard juzi Behaviourist alikuwa anauliza mbona mda mwingi niko hewani na ninajinasibu humu napiga masaa mengi.
Niki likizo states nimefuata huyu. Halafu kuna hii lottery megamillions na powerball nilicheza last week ila sikupata. Mwenyeji wangu hapendi lottery gambling na sigara ila najitahid. Tayari nimeshanunua tiketi za lottery zake tuesday and wednesday. Zote kwa pamoja ukishinda n 2.2 Billion dollars
Kwamba kule Somalia wanaamini mwanamke mzuri ni yule anaye weza kulijaza chakula tumbo la mmewe na kuzifanya kende zake ziwe tupu.Vunja mifupa kijana.
Ila kwa hiyo ya Mogadishu utalelewa kwa uzuri hapo.
Kazi na dawa.
🙂🙂