Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Ha ha haaah 😂😂😂 sucksas hawaishi***** Usije ukwa umekutana na Wapopo wanaookota picha za warembo na kuziweka ktk dating site wakupige hela ndo kichwa kitulie all the best
Ha ha haaah 😂😂😂 sucksas hawaishi***** Usije ukwa umekutana na Wapopo wanaookota picha za warembo na kuziweka ktk dating site wakupige hela ndo kichwa kitulie all the best
Kwamba kule Somalia wanaamini mwanamke mzuri ni yule anaye weza kulijaza chakula tumbo la mmewe na kuzifanya kende zake ziwe tupu.
Mkuu uliwahi ishi pande za makongolosi??Angekuwa anatokea huko ndani ndani..mabwepande au huko makongolosi kama sio chattle,bado ungekufwaa.!?
hujakoma kuwachwa kwa Kizungu?Mkuu Jon Stephano ni dating site ipi ambayo ni free? Haina mashart pia ni uhakika kuopoa mizigo




Kabla tukutane tumeongea kwenye video chat viber na whatsap. Na sasa hivi ni mwenyej wangu. Acha kumdharau weweee


Mkuu richard juzi Behaviourist alikuwa anauliza mbona mda mwingi niko hewani na ninajinasibu humu napiga masaa mengi boksi.
Niki likizo states nimefuata huyu. Halafu kuna hii lottery megamillions na powerball nilicheza last week ila sikupata. Mwenyeji wangu hapendi lottery gambling na sigara ila najitahid. Tayari nimeshanunua tiketi za lottery zake tuesday and wednesday. Zote kwa pamoja ukishinda n 2.2 Billion dollars



Nakusubiri uwe tajiri bado. Endelea tu Na hao wa dating sites kwa sasa hiviMkuu Jon Stephano ni dating site ipi ambayo ni free? Haina mashart pia ni uhakika kuopoa mizigo
barbarosa mkuu hao ndio nawapenda na easy target
Acha porojoFanya kazi wewe.
Vibonge wavivubarbarosa mkuu hao ndio nawapenda na easy target
Kupika au kutosha vyombo?Vibonge wavivu