Kifaa cha umeme kilicho kaa muda mrefu mssada

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Nauliza Nina TV inamiaka nane ndani sijaitumia but niliyokuwa naitumia,,now imeungua,,je naweza itumia hii iliyokuwa ndani bila kuitumia muda?haiwezi ungua,nyaya ndani?
 
Ni TV aina gan uneitunza sehem zipi..
Mara nyingi km mende na wadudu wengine walifanya km nyumba yao hapo inaweza kuwa tatizo..
Upande wa Electronic components zitakuwa Salama.
Muhimu jaribu kukagua nyaya zake(Power cable na connectors nyingine) au zibadirishwe kabisa..
Ukihitaji kubadirishiwa nicheck nipo Dar es Salaam
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom