SI uvae hiyo chupi?asa mbona kimekaa kama chupi..?
vaa wewe kama ni raha!SI uvae hiyo chupi?
Kwa hiyo wewe huwa hufuniki kinyeo kabisa?😅vaa wewe kama ni raha!
mimi navaa boxer wewe vaa huo mchupi unaoita watu!Kwa hiyo wewe huwa hufuniki kinyeo kabisa?😅
Mawazo ya watanzania wengi, wewe ukiwemo ni kuwaza tupu!asa mbona kimekaa kama chupi..?
Ccm imeharibu vijanaMawazo ya watanzania wengi, wewe ukiwemo ni kuwaza tupu!
ni raha sana ndugu!Mawazo ya watanzania wengi, wewe ukiwemo ni kuwaza tupu!
Hizi simu zina mambo mengi tu sema wangekuwa wanatuwekea mannual ya kutuelekeza tungejuwa vingi.Samsung walikuwa nayo hiyo unaset tu matumizi ya power button ukibonyeza mara 2 au tatu mfululizo inapiga picha ya siri bila mlio inaambatanisha location na kutuma kwenye contact uliyochagua.
Kuna vitu kwenye simu unaweza kununua mpaka unauza hujavititumia kabisa.Hizi simu zina mambo mengi tu sema wangekuwa wanatuwekea mannual ya kutuelekeza tungejuwa vingi.
Sana tu kiongozi, bora hata hawa jamaa kwenye FB na Tiktok wamekuwa wakitujuza application za hapa na pale tunabaki tunashangaa na simu tunazo miaka nenda rudi.Kuna vitu kwenye simu unaweza kununua mpaka unauza hujavititumia kabisa.
Kama hiyo feature inakuwezesha angalau ukitekwa wahusika watajua mara ya mwisho ulikuwa wapi kwa kuonesha picha ya eneo hilo.
Sana tu kiongozi, bora hata hawa jamaa kwenye FB na Tiktok wamekuwa wakitujuza application za hapa na pale tunabaki tunashangaa na simu tunazo miaka nenda rudi.