Wadau kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata nawasilisha.
Wadau.kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata.nawasilisha.

usinunue hicho kifaa bila ushauri wa wataalamu . uko mkoa gani nikuelekeze sehemu ya karibu uonane na wataalamu na ikiwezekana unaweza kupatiwa bure huduma na kifaa hicho