Kifaa cha kuongeza usikivu.


N

nyukidume

Senior Member
Joined
Oct 18, 2017
Messages
166
Likes
97
Points
45
N

nyukidume

Senior Member
Joined Oct 18, 2017
166 97 45
Wadau kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata nawasilisha.
 
sili

sili

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
304
Likes
115
Points
60
sili

sili

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
304 115 60
Wadau.kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata.nawasilisha.
Bei inategemea na intensity yake ya kusikia mawimbi ila inaanzia kwenye laki 1 mpaka laki 7 hivii,
 
O

option

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
1,749
Likes
854
Points
280
O

option

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
1,749 854 280
Wadau.kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata.nawasilisha.
Kuna jamaa angu aliugua malaria alikaa almost mwezi mzima hasikii lakini mwisho wa siku alirudi ktk hali ya kawaida
 
saasita

saasita

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
119
Likes
60
Points
45
saasita

saasita

Senior Member
Joined Aug 10, 2017
119 60 45
usinunue hicho kifaa bila ushauri wa wataalamu . uko mkoa gani nikuelekeze sehemu ya karibu uonane na wataalamu na ikiwezekana unaweza kupatiwa bure huduma na kifaa hicho
 

Forum statistics

Threads 1,237,985
Members 475,809
Posts 29,308,807