technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,849
Juha ni yule asiyejua ni ya nini.Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Tungekuwa na katiba sasahivi Sabaya angekuwa nje anaenda mahakamani kutokea nyumbani.Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Umeishia darasa la ngapi we jinga ?Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Ndio maana ya national dialogue yaani tunataka kile wananchi walichosema kwa wingi ndio kitekelezweJe, mtakubali maoni ya upande mwingine? Kilichoshindikana katika michakato iliyopita ni pande mbili kutokukubaliana, sidhani kama kitakuwa tofauti hivi sasa.
Naamini unakumbuka mchakato uliopita kwamba walichosema wananchi sio kilichopendekezwa kwenye baraza la katiba. Hata ukirudi nyuma miaka ya 1990 wananchi walitaka nchi inedelee kiwa yachama kimoja, lakini mwisho wa siku marekebisho ya katiba yalifanyika na sasa tuna vyama vingi.Ndio maana ya national dialogue yaani tunataka kile wananchi walichosema kwa wingi ndio kitekelezwe
Kabla ya kuingia kwenye mchakato wa katiba lazima kuwe na majadiliano na makubaliano ya awali(preminary discussions and agreement/ consensus on basic principles of ought to) kuhusu misingi ya kitaifa ambayo haiwezi kubadilishwa na katiba mpya maana yake unaua taifa la Tanzania i.e muundo wa muungano.Tunza hii post yako, siku mama anakubali hoja ya katiba mpya lazima uje usifie kuwa ccm ni wasikivu. Wazee wa bendera fuata upepo. Kwa taarifa yako hoja ya katiba mpya ndio habari ya mjini, na hii ccm mtake msitake lazima muicheze hiyo ngoma.
Ya kuzuia udikteta nchini, udikteta unaleta umasikini nchiniHiyo katiba ya nini nyie majuha?
Hakuna anayetaka katiba zaidi ya majuha wachache wa ufipaTunza hii post yako, siku mama anakubali hoja ya katiba mpya lazima uje usifie kuwa ccm ni wasikivu. Wazee wa bendera fuata upepo. Kwa taarifa yako hoja ya katiba mpya ndio habari ya mjini, na hii ccm mtake msitake lazima muicheze hiyo ngoma.
Wewe umeishia la ngapi?Umeishia darasa la ngapi we jinga ?
Ina maana wole walioshiriki mchakato wa katiba mpya wote ni majuha?Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Huo mziki lazima muucheze, yaani mtajua mko nje ya muda, ndio maana mnategemea vyombo vya dola kubaki madarakani kwa shuruti.Hakuna anayetaka katiba zaidi ya majuha wachache wa ufipa
Tungekuwa na katiba nzuri inayotambua na kulinda haki za raia, hata wewe huenda ungepata elimu nzuri ambayo ingepunguza au kufuta uwendawazimu wako ambao unao sasa hivi.Hiyo katiba ya nini nyie majuha?
Aisee vijana kama nyie ndio mnapwewa u-DC takataka kabisaHiyo katiba ya nini nyie majuha?