Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Polen wadau!Nisiwe muongeaji sana ngoja nilete mada mezani,mwenzenu toka nimeyajua mapenzi nimeshiriki na wasichana wawili tu!Huyu niliyenae ni watatu kiukweli nimekua na tabia ya kukaa na demu mmoja tu na nikishakua nae tu mademu wengne huwa sina habar nao kabsa na nimekua na bahat ya kupendwa na mademu but huwa nawatoleaga nje tofauti na wenzangu wanakuwaga na list ndeeefu ya wapenzi,nikiwapaga list yangu wananicheka wanasema eti mi syo mzima coz nina demu mmoja tu!
Sasa wadau ni kweli mwanaume lazima uwe na demu zaid ya mmoja?
Sasa wadau ni kweli mwanaume lazima uwe na demu zaid ya mmoja?