Kidume lazima awe na list ndefu ya mademu?

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Polen wadau!Nisiwe muongeaji sana ngoja nilete mada mezani,mwenzenu toka nimeyajua mapenzi nimeshiriki na wasichana wawili tu!Huyu niliyenae ni watatu kiukweli nimekua na tabia ya kukaa na demu mmoja tu na nikishakua nae tu mademu wengne huwa sina habar nao kabsa na nimekua na bahat ya kupendwa na mademu but huwa nawatoleaga nje tofauti na wenzangu wanakuwaga na list ndeeefu ya wapenzi,nikiwapaga list yangu wananicheka wanasema eti mi syo mzima coz nina demu mmoja tu!
Sasa wadau ni kweli mwanaume lazima uwe na demu zaid ya mmoja?
 
Jibu ni Ndio.

Chonde chonde, hata majogoo yanakushinda?
 
Polen wadau!Nisiwe muongeaji sana ngoja nilete mada mezani,mwenzenu toka nimeyajua mapenzi nimeshiriki na wasichana wawili tu!Huyu niliyenae ni watatu kiukweli nimekua na tabia ya kukaa na demu mmoja tu na nikishakua nae tu mademu wengne huwa sina habar nao kabsa na nimekua na bahat ya kupendwa na mademu but huwa nawatoleaga nje tofauti na wenzangu wanakuwaga na list ndeeefu ya wapenzi,nikiwapaga list yangu wananicheka wanasema eti mi syo mzima coz nina demu mmoja tu!
Sasa wadau ni kweli mwanaume lazima uwe na demu zaid ya mmoja?

Hata huyo mmoja kama si mke wako wa ndoa achana naye. Hata kumbukumbu ya siku ya UKIMWI duniani haijafutika kwenye memory unawaza kuwa na mademu wengi na hivi vijana wa digital mnapima UKIMWI wasichana kwa macho kama plate number za magari eti ukiona T 120 AGA hiyo imezeeka, scrap! HIV/AIDS is real! Subiri uoe mke mwaminifu uta-enjoy sex!
 
Takwimu zinaonyesha walioko kwenye ndoa weng wameathirika,but huyu ndie mke wangu imebaki ndoa tu mpendwa.
 
Wala sio lazima mwaya,ni tamaa zao tu wakati mwingine wanashindwa kujizuia.
 
Takwimu zinaonyesha walioko kwenye ndoa weng wameathirika,but huyu ndie mke wangu imebaki ndoa tu mpendwa.
Hapo kwenye red uko sahihi kabisa na hii ni kwa sababu ya wana ndoa, wengi hasa vidume, kuvunja viapo vyao vya ndoa. Uwe mwaminifu kijana.
 
Wanaume wengi hatupangi kuwa na list ndefu. Lakini mazingira na mitego ya kina dada ndo chanzo. Hujikuta tuna list ndefu bila kupenda. Kama wewe unaweza kuhimili mitego ya kinadada basi hongera na umshukuru mungu. Maana list hizi hutuletea umasikini na magonjwa. Natamani ningekuwa kama wewe.
 
Pole!Ukitaka ukae nao mbali mtengeneze mamito wako flesh...
 
Mjinga ndio huwa hana mcmamo...kuwa na mademu wengi ni sawa na mtu anayekumbatia mbuyu wkt mikono yake mifupi
 
Back
Top Bottom