Kidume chajinasa chenyewe!!!!!

Kidume chajinasa chenyewe!!!!!

Mwanamke mmoja baada ya mmewe kusafiri aliamua kuwaita mahawara wake wawili wa kiume! Basi vidume havikufanya hiyana vikatia timu; Ghafla bila kutegemea mume akarudi na ikabidi mwanaume mmoja ajifiche darini na mwingine chini ya uvungu! Mazungumzo kati ya mume na mkewe yalikuwa hivi:

Mme:Mke wangu kipenzi,nimekuletea zawadi toka safarini!

Mke:Aaaah...Asante sana mme wangu!!!!

Mme:Noooooooooo...usinishukuru mimi;bali mshukuru aliye juu{akimaanisha MUNGU}

Jamaa aliye juu ya dari ikabidi apige kelele:Aaaaaaahhhhhh sipo peke yangu,kuna mwingine yupo chini ya uvungu!!!

Halafu yule wa chini ya uvungu akajibu......Haaaaaaaaaaaaaaaa mimi nilikula tigo tu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom