Kidume chajinasa chenyewe!!!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Mwanamke mmoja baada ya mmewe kusafiri aliamua kuwaita mahawara wake wawili wa kiume! Basi vidume havikufanya hiyana vikatia timu; Ghafla bila kutegemea mume akarudi na ikabidi mwanaume mmoja ajifiche darini na mwingine chini ya uvungu! Mazungumzo kati ya mume na mkewe yalikuwa hivi:

Mme:Mke wangu kipenzi,nimekuletea zawadi toka safarini!

Mke:Aaaah...Asante sana mme wangu!!!!

Mme:Noooooooooo...usinishukuru mimi;bali mshukuru aliye juu{akimaanisha MUNGU}

Jamaa aliye juu ya dari ikabidi apige kelele:Aaaaaaahhhhhh sipo peke yangu,kuna mwingine yupo chini ya uvungu!!!
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Hahahahaaaaaaa!!!!! Kisha mwanaume alipozinduka na kukuta mkewe
amekufa halafu wale jamaa hawapo naye akafa. Wakakutana mbinguni...

Teh!Teh!
Na huko mbinguni lazima mume alimzabua makofi mkewe;Mungu akaamua kuwarushia jamaa duniani...kwa sasa nadhani ni Rejao$MS!!!!
 
Back
Top Bottom