Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,587
Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu.
Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.