Kiduku cha babu yangu

Kiduku cha babu yangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
hapa hamna bitozi anayetia mguu.
Sio Balotelli wala sio nani.
Babu Yangu Asprin ni funika bovu
165041_477473175631836_411650092_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
ama kweli Hakuna jipya duniani........yote ni ubatili na kujilisha upepo......yaani anaonekana wa zamani kabisa huyu....
 
ama kweli Hakuna jipya duniani........yote ni ubatili na kujilisha upepo......yaani anaonekana wa zamani kabisa huyu....
Amavubi hata hivi tunavyoviona kuwa ni vipya ni vya zamani kichizi.
Kuna jamaa yangu kanunu jeep wrangler mpya model ya 2012, nikamwambia hili gari ni jipya kwa mwaka wa kutengenezwa, lakini ni la zamani
 
Last edited by a moderator:
sijui niite tatu kichwa sijui nii kiduku sijui niite nini yaani maana katisha mtu mzima..
 
bhange bana!!!

Aaaaaaaaagh, Mwl. Baba V, yaani unakomea kusema hivyo tu? Toa Onyo bwana kama mwalimu wa watoto wetu, tena mkongwe kwa watovu wa nidhamu!
Hebu niambie akiingia ofisini mwako mtu wa namna hii halafu anasema ni mzazi wa mojawapo wa wanafunzi wako, utamsaidia shida yake tu au utampa na ushauri/utachukua hatua gani dhidi ya muonekano wake na madhara yake katika malezi ya watoto?
Mwl. gfsonwin, njoo huku umsaidie mwal. Mwenzako Baba V! Ahahahahaaaaa! Walimu nawapenda sana, dah!?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kumbe hata zamani bangi ilikuepo?
kashesho
Kwetu zamani sana wakati jua lilikuwa likipoteapotea njia (lilikuwa halijui njia, kuwa latikiwaikiwa kutoka mashariki kwenda magharibi) Bangi ilikuwa ikitumika kama dawa ya kurudishia ubikira kwa wasichana.
 
Last edited by a moderator:
Mnh! Huyu atakuwa amezikusanya kwa gundi ya minyaa!
 
Hawa ni Watusi. Real Watusi wa Rwanda.....

Kama Ng'ombe zao vile......

Tutsi%20-%20Ivys%20Albums%20-%20Zagorski%2009.jpg
Rosalie_Gicanda_headshot.jpg


tumblr_m9h6zcdTla1qf6wldo1_1280.jpg


Lakini kama sikosei ni ile family ya JUU peke yao walikuwa wanaruhusiwa kuwa na hii Style. Sidhani kama ni wote 🙂
 
Back
Top Bottom