SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,925
UKIACHILIA MASHULE YA WAROMANI TULITEGEMEA SHULE ZA KANISA LA KKKT NAZO ZIFANYE VIZURI LAKINI CHA AJABU MASHULE MENGI YA KKKT YAMEBORONGA YAKIONGOZWA NA MTERA YA IRINGA, POMERINI YA IRINGA, MBWAWA YA PWANI NA KISARAWE JUNIOR....ILA ZIPO SHULE MBILI ZILIZOFANYA VIZURI NAZO NI KIDUGALA SEMINARY NJOMBE NA AGAPE SEMINARY KILIMANJARO.....KKKT MUWE MAKINI NA SHULE ZENU MAANA HATA WAPENTEKOSTI WANA SHULE ZAO TISHIO KAMA LIVINGSTONE BOYS SEMINARY YA MUHEZA, FARAJA SEMINARY MOSHI NA EBEBNEZER SEMINARY IRINGA AMBAZO ZINAKUJA KWA KASI SANA.....KKKT MJIANGALI SIO MTOTO ANALIPA MAMILIONI KISHA ANAKUJA KUPATA ZERO AIBU....MKOA WA IRINGA TU KKKT ILIKUWA NA SHULE ZAIDI YA 12 SIJUI ZILIFIA WAPI???