Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Mondray we ni mganga kwan
 
Dah kipindi kile cha Ukoloni hii sayansi haikuwepo mbona tumenyanyasika kwa mababu zetu kufungwa minyororo kirahisi na kupelekwa utumwani!!?
 
Kaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.

Sio siri hua unafikia wakati mie najiogopa aseee, hua nikifika ugenini najikuta nakua mnyonge, sijichanganyi mahala panapoweza kunipa changamoto, yamenifanywa nikaachishwa mafunzo ya jeshi nateseka sana
 
Dah! Amakweli hii nayo ni taaluma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…