Kidonda kwenye Uume

Kidonda kwenye Uume

Wakuu naomba mumsaidie mdogo wangu anasumbuliwa na kidonda kwenye kichwa cha uume.

Kilianza kama ngozi iliyobabuka au fungus , kukojoe huku anasikia raha na muwasho,lakini sasa kuna kidonda kwenye kichwa na hawezi kuvaa nguo yeyote sasa.

Tafadhali naombeni matibabu yake ili nikamsaidie..

Mkuu hiyo ni gonolia, ni ugonjwa unaotokana na kujamiiana, dawa yake ni ant biotics lkn kwa kupigwa sindano kama tano, nasema hivyo kwani yalinikuta nikiwa shule miaka hiyo iliyopita, nikapatwa na vidonda viwili kwenye kichwa,

chini ya kichwa na juu yake, dr, akaniambia ni ugonjwa wakuambukizwa unaotokana na ngono zembe hivyo nikandikwa sindano ya ppf kama sikosei tano nikapona, mwambie asichelewe, vidonda kama hivyo uchimba kichwa cha mzee Abdallah atapata makovu akipona,

kama atachelewa akiwahi zinafutika kabisa, ni ugonjwa wakaida kabisa, lkn awe makini ckunyingine asiwaamini 100% wasichana na kwenda nao miguu peku, kuna mbigili mtaani siku hizi.
 
we dawa ya sikio umekula mtoto beki 3 iliyorudi toka huko ikiwa imebadili lafudhi ikakuachia maradhi wewe. Sema kweli



Teh teh teh!
Taratibu mkuu. Umesababisha niubamize mlango wa ofisi ili nijifiche. Manake nimecheka hadi wateja wangu hapo nje nao wakaanza kunicheka.

Back to topic:

Sio mi mkuu !
Dogo wake Ikena huyooooo!
Mi nilimsaidia kujibu tu accordingly!
 
Ni vema umpeleke hosp, hapa kila mtu atakupa ushauri anaohujua yeye
 
ikena vipi tena mambo ya mdogo wako vipi, ni wewe mkuu usijali, kwa sababu umetumia dawa ya malaria angalia kama ina sulfur inaweza kukuletea allege, hatua ya kwanza tumia maziwa fresh ili kuditoxify sumu mwilini, halatu tumia deto ya maji ukipata ni nzuri kwa kuoshea vidonda, pole sana
Kaka mm nilitumia metacelfin hazijaisha siku tatu nimeanza kuona dalili za kuwa na kidonda kwenye uume
 
Back
Top Bottom