kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,111
- 21,660
mkuu sikupond ila dhahir unaonekana una jazba, asira,pia hupend kukosolewa! 1st tym ukwen unapigana kwel hii inaingia akilin??? umechemka aiseee! sipat picha ukiwa unaandika huu uzi ulikua na mood gani!
badilika mkuu
badilika mkuu