Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
we huna self control? haya sasa umeshaonekana huna busara....
Saaaf....!hekma zero,busara infinity,uvumilivu null,ustahamilivu negative,heshma undefined!mwanangu huoi ng'oooooo.....!
we huna self control? haya sasa umeshaonekana huna busara....
nishasema yeyote atakayekuja mbele yangu kunikwamisha namchukulia kama katangaza vita.
DEMBA, kingine kilichoniudhi ni pale aliposema kwetu mtu haolewi bila milioni 10, hivi hata kama ungekuwa wewe ungevumilia yote hayo?
Stori za MMU kama TV siriz vile
yaan sijui kwann siku hizi humu jf watu wanatoa stor za uongo. Mtu mzma anakaa nyuma ya keyboard na kuanza kuandika uongo
ninayo sana, ila jamaa alizidisha, nilivumilia mengi, kila kitu kina elastic limit.
Ungemuuliza na kwao akioa wanalipa kiasi gani? Yeye kaoa?
anhaaa, ulitaka nivumilie kudharauliwa? hata mke si angenidharau maana angejua hayupo salama, kitendo cha kumpigania lazima akione cha kishujaa.
chongo nitamtoa yeye kaka mtu.
kwani alikuambia nini mpaka ukaudhika namna hiyo? ulipaswa uvumilie tu