Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,463
Dah nimekaa tu nimejikuta nime pamisi kidimbwi mlioenda karibuni huko kukoje? Naogopa nisije pata ajari tena kuna faa kwendeka au ndio tutafute kiwanja kingine?
Wavuvi hapakutoshi?
👀😳👀😳👀😳👀😳Dah nimekaa tu nimejikuta nime pamisi kidimbwi mlioenda karibuni huko kukoje? Naogopa nisije pata ajari tena kuna faa kwendeka au ndio tutafute kiwanja kingine?