Kwa kuweka hiyo cage sidhani kama ni solution, kwani wakiingia ni lazima uwafungulie cage uwape hiyo screen.Hii yawezekana ni enzi zile ambazo watumia jiwe lililojulikana kama FATUMA wakiskia nyumba flan ina runinga lazima waje waibebe kwa nguvu. Hiyo ndio ilikua dawa yao