Kidato cha sita kujiunga na jkt mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kidato cha sita kujiunga na jkt mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Luraja, Jan 7, 2013.

 1. L

  Luraja Member

  #1
  Jan 7, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni shule ambazo kidato cha sita watachaguliwa kwenda JKT mwaka huu kuanzia machi
  Kibondo, Musoma, Kibaha, Ilboru, Bagamoyo, Jitegemee, Tabora Wavulana na Nganza. Shule nyingine ni Mtwara Wasichana, Ihungo, Kilakala, Benjamin Mkapa, Maswa Wasichana, Dodoma, Tumain-Singida na Galanos.Nyingine ni Ashira, Nangwa-Manyara, Iyunga, Mpanda, Lindi, Iringa Wasichana, Kawawa-Iringa na Ruhuwiko-Songea.
   
 2. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2013
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzumbe vipinilidhani special scul zote watapelekwa...
   
 3. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #3
  Jan 7, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona hizi taarifa zako hazionekani kuwa na ukweli wowote ulee??? inakuwaje watenge shule nyingi sana za privates?? source ya taarifa plz!!
   
 4. j

  jamessungo Member

  #4
  Jan 7, 2013
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Makongo vp
   
 5. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 800
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  kama serikali imekosa hela kwa ajili ya hayo mafunzo ni bora waache maana haiwezekani kuchagua shule ,hii inatakiwa kuwa kabya ya kujiunga chuo wote wanapitia jeshini na huwa ilikuwa inafanyika wakati wa kusubiri matokeo ya form six
   
 6. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2013
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  JKT haichagui shule wacha uongo wako
   
 7. c

  charles.ludovick Member

  #7
  Jan 7, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msishangae sana,habari ndo hiyo,hamsikilizi na kuangalia vyombo vya habari?
   
 8. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2013
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mshahara tu wa mwezi wa kumi na mbili ofisi zingine hawajapata, iwe pesa ya jkt itakuwepo kweli? pamoja na kwamba, kama wangepata hela hawa watoto waende jkt ingekuwa safi sana.
   
 9. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,155
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
 10. L

  Luraja Member

  #10
  Jan 7, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona shule nyingi ni za serikali.Source kasome gazeti la mwananchi la leo ( 7/1/2013)
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2013
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,711
  Likes Received: 2,769
  Trophy Points: 280
  waende wapunguze usharoharo
   
 12. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2013
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Nimeisikia clouds sasa hvi!
   
 13. Mjanja Wa Town

  Mjanja Wa Town JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Labda mimi sijaelewa kitu kimoja, mwaka 2014 vijana watahitimu kidato cha sita mwezi mei. Ina maana kama watajiunga na mafunzo ya jkt kwa miezi 6, chuo haitawezekana kwa mwaka huo itabidi wasubiri mpaka 2015 septemba huko. Swali linakuja, je kwa wanafunzi ambao shule zao zitakuwa bado hazijachaguliwa kujiunga na mafunzo ya jkt watawasubiri wenzao hadi mwaka unaofuata au wataendelea na chuo?. Na kama wataendelea na chuo si watawaacha wenzao walio mafunzoni kwa mwaka 1?. Kwa yeyote anayefahamu atufahamishe.
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2013
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,711
  Likes Received: 2,769
  Trophy Points: 280
  ''wa kiume'' walianza kutufedhehesha madume kama sie
   
 15. Yusuph p. Kisunzu

  Yusuph p. Kisunzu Senior Member

  #15
  Jan 7, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari gani waliomaliza mwaka jana hakuna uwezekano wa kuchukuliwa?
   
 16. M

  Monde Joshua Martin Member

  #16
  Feb 3, 2013
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutakwenda huko,haina mbaya joh
   
Loading...