Mkubwa hivyo nasikia havichelewi kushuka !
Naskiaga ngano kwa watu , kwamba vikishuka msamiati wa sumile hua haupo!
napita tuu sisi wamasai hatuli samaki Judgment shikamooo
Mmmh hapa nashindwa kuitikia shkamoo!
Kuna kiuno napeanwa mda huu !
Ama kweli Kiuno cha samaki kitamuje?
Japo Kipipi anan'shawishi nihamie kwenye utamu wake yeye! Bichwani !
Nachokiogopa mie kichwa, including Jicho!
Jicho halinivutii .
Poa Mr Rocky , hata mie nilikuelewa kwa maana hiyohiyo unayo isema , but nilikua nanenepesha Uzi wangu (afu unajua nachart nikiwa eneo lenye manyunyu! Hapo kwenye neno Uzi nilikua nimeandika Uchi)
duuh sijui wavimbamaso wangenisomaje!
Wa Kibirinzi na Mwamgongo kule Kigoma ?
Au wa Zenji ?
Au wa Arachuga kule Maromboso na Sombetini ?
napita tuu sisi wamasai hatuli samaki Judgment shikamooo
Mtoto halali na hela sisi maasai hapana penda kula kitu ina magamba na na inaangalia wakati wewe nailaunaogopa kula kitu inaangalia wewe, shee!