Kichwa kidogo anamtaka mwenzie

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,548
Reaction score
64,912
Hizi mvua hizi na baridi si mchezo
Unajaribu kujiweka bize na shughuli mbalimbali lakini wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie.
Unakunywa kahawa zaidi ya vikombe vitatu ili kuondoa baridi lakini wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie.
Unapiga pombe ili kuondoa mawazo yasiyokuwa na tija lakini wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie.
Unajaribu kuongea maneno ya busara aah wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie.
 
Nina uhakika hujabanwa na majukumu mdogo wangu
 
Tuko wengi brother. Yaani nimekaa kwenye tv hapa lakini mawazo yako sehemu nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…