Imani yangu si haba inanitosha
Pepo gani mkuu?
Pepo la sexual disorder.![]()
Mademu wa Jf hawanitaki wananiita malaya - JamiiForums
Kila nikitaka kubeti ata mtoto mmoja mkali wa jF naishia kupigwa za Uso, Kuna muda nakuwa na nia nzuri kabisa ya kutaka kumiliki mke lakini ndio basi wote wananiona apeche aloloo eti wanniita malaya, Zero sina bahati kabisa humu aiseee uwenda nimeshawala huko Nje bila kujua ID zao lakini...www.jamiiforums.com

unajitahidi kufukua mkuuunajitahidi kufukua mkuu
Wakuu leo nimeamka kwenda kukojoa naona kichwa cha dushe (kimlija kwa ndani) kinawasha,
Yaani muwasho flani hivi ambao mpaka sasa naona unanisumbua sumbua hapo nipo tu nabinya binya dushe,
Hivi tatizo linaweza kuwa nini wakuu.