Kicheko cha PINDA

e banaa ee! kulikuwa na haja gani ya kunyanyua huo mguu??
 
napata shida kuamini kama kile kitendo cha gesi ngumu haki kutake place....
 
aaaaa mtoto wa mkulima bwana.....mwenye clip ya kulia bungeni aipost tulinganishe body languages..
 
Inaonekana walikuwa wanaangalia mpira kwenye runinga jamaa akawa amekolea na kuamua naye kuusindikiza mpira kwa kurusha teke angani. makubwa!
 
Hiyo midadi ninoma, bora hapo mbele hakuna mtu aliyekaa, jaribu kufikiri anaporudiha huo mguu lazima akupe ya mgongo. Lakini anaonekana ni mtu wa mazoezi.
 
Jamaa yetu yeye kaishia kushika kichwa........ila lazima ilikuwa a big joke.......mimi sijawahi kumuona Dr Shein akicheka

 
aiseeeeeeee babaangu hapa atakuwa ametowa gass ya kunuka manake alivyoinua mguu sijui
 
Hahahhaa
Huyo mpiga picha nae mfukunyuku balaaa
 
Hahaha hii nimeipenda sijui kutakua kulisemwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…