Kichekesho toka NIDA ufinyu wa akili

Kichekesho toka NIDA ufinyu wa akili

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.

Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.

Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ? Mnahuduma ya kurudusha vitambulisho.

Hizi namba zanida zina mfumo ambao mwananchi wa kawaida kuingilia mfumo ni ngumu.

Hii ndio idara tunayotegemea ila na yenyewe imeanza kuwa vichekesho.
 
Watu wanataka kumalizia vigungu vya hela mwaka wa fedha unaisha bwashee. Shituka. Kipindi hiki hadi juni 15 wafanyakazi wa serikali wana hekaheka nyingi zisizo na msingi ili hela zisirudingazina😃😃😃😃
 
Ujinga mtupu, yaani hizo cards zinakuwa dhaifu sana, wino unafutika tu..nadhani ni kwa matarajio kwamba ziharibike mapema mwananchi atoe 20k aletewe kingine but imagine mtaani ni 5k tu..hivi serikali ulinao wananchi ni wapumbavu sana???
 
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.

Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.

Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ? Mnahuduma ya kurudusha vitambulisho.

Hizi namba zanida zina mfumo ambao mwananchi wa kawaida kuingilia mfumo ni ngumu.

Hii ndio idara tunayotegemea ila na yenyewe imeanza kuwa vichekesho.
Sahihi
 
Inachekesha kwa kweli, namba za steshenari zinaonekana vipi kwenye data base ya NIDA?
 
Kuna msemo unaosema " don't measure kwenye miner. Nida wanameasure kwenye miner. Badala watafute watu ambao sio raia wenye vitambulisho na namba za nida wanaenda kutafuta stationary. Hao wa stationary wakiacha kutoa copy vitambulisho itawasaidia nini? Tz wakongo na warundi wana vitambulisho na kuna raia wa tz kibao hawana vitambulisho kwa ajili ya garama.
Nadhani ni vema kama wangefocus kusajili wananchi ambao hawana vitmbulisho kuliko kuhangaika na mastationary
 
Waarabu wengi wana NIDA, ila wa-Tanzania halisi wanazungushwa ili wakate tamaa.
NIDA ni jipu (in Magu voice)
 
Back
Top Bottom