Kichefuchefu

mbona wawatukana watoto wa wenzio hivyo!
Watanzania wote tuna tatizo la 'mindsets' lakini hatutaki kukubali hili. Leo ni hawa, kesho wale, keshokutwa wewe nk. Ndio maana watu walivyohoji 'kamati' ya Serengeti Boys waliwalidhania utani na baada ya nao kufurumushwa nje ya mashindano wengine wanaanza kulia hadharani bila kujua kuwa wana ndevu!
 
Nilitegemea kuona nnya!!!!! nshaanza kukunja sura
yani watu ndo kichefchef?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…