Kichefuchefu

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Timu ya Kilimanjaro Stars ikiwasili kutoka Kampala baada ya kutoka patupu.

KILI_2[1].jpg
 
mbona wawatukana watoto wa wenzio hivyo!
Watanzania wote tuna tatizo la 'mindsets' lakini hatutaki kukubali hili. Leo ni hawa, kesho wale, keshokutwa wewe nk. Ndio maana watu walivyohoji 'kamati' ya Serengeti Boys waliwalidhania utani na baada ya nao kufurumushwa nje ya mashindano wengine wanaanza kulia hadharani bila kujua kuwa wana ndevu!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom