Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,227
- 829,252
Nina hamu ya kuangalia bunge linavyoendelea Dodoma ila kisimbuzi ninachotumia local channels zinazokamata ni mbili tu Tbc na Channel Ten,ambapo Tbc ndio inaonyesha bunge
kwakweli ni aibu kwa serikali na Taifa kwa ujumla yani picha ni hafifu na zinakatakata mno utafikiri ni kakituo tu kamtu binafsi kumbe ni Kituo cha Taifa INAHUZUNISHA MNO
kwakweli ni aibu kwa serikali na Taifa kwa ujumla yani picha ni hafifu na zinakatakata mno utafikiri ni kakituo tu kamtu binafsi kumbe ni Kituo cha Taifa INAHUZUNISHA MNO