Kichefuchefu cha maabara za rais hiki hapa

Sasa mnataka jk ndo atoe hela toka mfukoni mwake.
kwani 2000 ama 10000 ukitoa mara moja katika miaka 50 utaadhirika nini?,wakati huo wanalalamika jioni wanajazana kona bar na kunywa maelfu.
vipi ungeishi kama kenya ama america ambako hadi biashara ndogo kama toroli la kuuza matunda mpaka uwe na leseni na kibali cha food and drug authority.

Deni la Taifa sasa ni trilioni 30, zimefanya nini? Kwa nini wasiende kuchukua zile zilizofichwa uswizi? au hizi za IPTL zilizoibwa juzi? Juzi wamefika home kwangu wakataka elfu 60 kwa kila nyumba! Nikauliza waraka unaosema elfu 60 kwa kila nyumba uko wapi? wakaishia kunitolea mimacho; sijakaa sawa ofisini nikakuta tena mchango! Na ukuangalia kwa makini hizi fedha zitaishia kuliwa tu na wajanja! Mbona bunge la katiba hawajachangisha??
 
Jombaa, hii ni Africa ndo maana ikawa hivo so unaposema ingekuwaje kama kenya AU america, kwanza usitupotoshe km hatujafika huko kenya wachuuzi ni wapo kama hapa Bongo na maisha is same asif tofauti ni vile wenzetu wana education life, but si kama unavodanganya watu hapa.
Kingine mie sinywi pombe ila hata wewe unaweza kaa bar jioni pia kumbuka mlevi anaheshimika sana ndiyo maana ukilewa na kutukana wanajua hiyo si akili yako ni ya pombe, but serikali inakutambua wewe ni mlipa kodi mzuri vlevle unaendeleza viwanda vya hiyo kitu. Kumbuka hili serikali yoyote duniani inakusanya mapato mengi yakigawanywa ktk nyanja kuu zile zinazopewa kipaumbele na elimu ikiwemo, humo wanajua kuna nyumba za walimu, mahabara nk, sasa baadaye kuona hazina haina pesa na kuangalia siasa inavobana as soon uchaguzi unadhani n nn kitafuata..?
Hiyo si.nzuri ya kuwabana wananchi bana.
 
Kuna watu huwa hawayaoni haya au wanayaona lakini wanajifanya hawaoni kwasababu zisizofahamika
 
Jombaa, hii ni Africa ndo maana ikawa hivo so unaposema ingekuwaje kama kenya AU america, kwanza usitupotoshe km hatujafika huko kenya wachuuzi ni wapo kama hapa Bongo na maisha is same asif tofauti ni vile wenzetu wana education life, but si kama unavodanganya watu hapa.
Kingine mie sinywi pombe ila hata wewe unaweza kaa bar jioni pia kumbuka mlevi anaheshimika sana ndiyo maana ukilewa na kutukana wanajua hiyo si akili yako ni ya pombe, but serikali inakutambua wewe ni mlipa kodi mzuri vlevle unaendeleza viwanda vya hiyo kitu. Kumbuka hili serikali yoyote duniani inakusanya mapato mengi yakigawanywa ktk nyanja kuu zile zinazopewa kipaumbele na elimu ikiwemo, humo wanajua kuna nyumba za walimu, mahabara nk, sasa baadaye kuona hazina haina pesa na kuangalia siasa inavobana as soon uchaguzi unadhani n nn kitafuata..?
Hiyo si.nzuri ya kuwabana wananchi bana.

1414433742234.jpg
 
Hibi ni kwa nini wanasiasa na watendaji wa nchi hii wanapenda kuifanya kada ya ualimu kuwa kada nyanyasika a.k.a kichwa cha mwendawazimu. Mbona mapolisi,mahakimu,madokta na manesi hawakatwi hela kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi,hospitali na mahakama? Ila kwa walimu pamoja na mishahara yao kuwa midogo bado wanabebeshwa mzigo wa makato ya kuchangia maabara.
 
Shule za vijijini lazima mtoto apeleke kilo 10 Mchele na mafuta Lita 5 unga debe la sivyo anarudi home
 
Deni la Taifa sasa ni trilioni 30, zimefanya nini? Kwa nini wasiende kuchukua zile zilizofichwa uswizi? au hizi za IPTL zilizoibwa juzi? Juzi wamefika home kwangu wakataka elfu 60 kwa kila nyumba! Nikauliza waraka unaosema elfu 60 kwa kila nyumba uko wapi? wakaishia kunitolea mimacho; sijakaa sawa ofisini nikakuta tena mchango! Na ukuangalia kwa makini hizi fedha zitaishia kuliwa tu na wajanja! Mbona bunge la katiba hawajachangisha??

Mkuu wanakusanya za uchaguzi ndio maana wameanzisha utitiri wa michango
 
Kuna ma mat.ko humu yanatia hasira mpaka baasi....k zao
 
Hivi kodi tunazolipa zinafanya nini?

Zinampeleka Profesa Kikwete Marekani, China na Vietnam. Pinda Yuko Ulaya, Nyalandu na Aunty Ezekiel Wako States wanazitafuna. Nyie walalahoi lipieni mchango wa maabara
 
Ukitafakari kwa makini Ulukolokwitanga unaweza kumtwanga mtu ngumi kama sio kichwa
 
Last edited by a moderator:

Sio ngumi tu kiongozi, kama umepandisha morali na una bastola mkononi halafu mtendaji wa mtaa anagonga kukusanya mchango, unaweza kujikuta unamuwasha Shaba bila kupenda ukaishia kuozea segerea. Hii mijitu inaboa aiseee
 
Last edited by a moderator:
Na hizi maabara zina walimu ambao ni wajuzi wa kuzitumia?
Hapo sasa ndiyo umegusa penye tatizo la masomo ya sayansi akili Yang inasema tungekuwa na walimu wa masomo ya sayansi kwanza ndio tujenge hizi maabara lakini Nina uhakika majengo hayo ni Nyumba za popo subirini mtakuja kusema baadaye wat
u wote tumekuwa misukule tunatumia matumbo kufikiri
 
ccm hooooyeee, katika kufanikisha azma yetu ya ujenzi wa maabara ....... haaaaaaahaaaaa inaleta raaaahaa
 
Hapo sasa ndiyo umegusa penye tatizo la masomo ya sayansi akili Yang inasema tungekuwa na walimu wa masomo ya sayansi kwanza ndio tujenge hizi maabara lakini Nina uhakika majengo hayo ni Nyumba za popo subirini mtakuja kusema baadaye wat
u wote tumekuwa misukule tunatumia matumbo kufikiri

Sawa na kuleta sera ya kilimo kwanza kwa advertise ya matrekta kuliko kuwaandaa mabwana shamba na elimu kwa wakulima kuhusu kilimo bora na cha kisasa
 
Back
Top Bottom