Kichapo kikali Siha

Aug 5, 2017
80
39
Ushindi mkubwa wa zaidi ya 80% ,kwa dr mollel mbunge alie badili chama toka chadema kuja CCM na yale majani ya masale waliyo tumia kumshangilia msgu slipo tua kilimanjaro mara ya kwanza akiwa RAIS.INA MAANISHA NINI?
 
So chadema SIHA hawana wanachama ElfuTano ?
hawa ni sawa na contact zangu za simu tu.
 
Ushindi mkubwa wa zaidi ya 80% ,kwa dr mollel mbunge alie badili chama toka chadema kuja CCM na yale majani ya masale waliyo tumia kumshangilia msgu slipo tua kilimanjaro mara ya kwanza akiwa RAIS.INA MAANISHA NINI?
Umelewa au?
 
Ccm raha Sana. Ukawa kwisha kazi, porojo nyingi
 
Nasikitika kuona siasa kufanywa kama ushabiki wa yanga na simba mnashindwa kuangali huyu mliomchagua kweli atawaletea maendeleo ya kweli. Tuwe tunajua ushabiki wa mpira hata kama una timu yako ikafungwa goli kumi hutaendelea kuwa shabiki wa timu hiyo hiyo, lakini siasa ni mstakhabali wa maisha yako ukiendelea kushabikia matatizo kuna siku utajilaumu kwa kuwa na ushabiki ambao haukusaidii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom