Kichapo cha Zenji cha Kujitakia!

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
697
Points
195

K-Boko

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
697 195
Kichapo cha Zanzibar jioni hii katika Senior Challenge dhidi ya Wajivuni kilikuwa cha kujitakia! Unawezaje kumwacha beki makini na mzoefu kama Nadir Haroub 'Cannavaro'? Bausi anahalalishaje hilo?
 
kalamata

Senior Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
144
Points
0

kalamata

Senior Member
Joined Apr 16, 2011
144 0
Kichapo cha Zanzibar jioni hii katika Senior Challenge dhidi ya Wajivuni kilikuwa cha kujitakia! Unawezaje kumwacha beki makini na mzoefu kama Nadir Haroub 'Cannavaro'? Bausi anahalalishaje hilo?
.....Ni kweli ndugu kichapo cha Timu ya Taifa ya Zenji kwenye senior Challenge ni cha kujitakia,lakini si kwa sababu ya kumwacha beki makini na mzoefu Nadir cannavaro kama ulivyosema.
Nasema hivyo kwa sababu cannavaro sio beki mzuri hata kidogo kwa wenye kufahamu soka,kinachomsaidia na kumpandisha chati ni Media za Bongo,stile ya soka la bongo.na vile anacheza katika ligi ya Tanzania Bara ndipo anapozidi kupata umaarufu,lakini Haroub huyox2 angekua anacheza katika Ligi ya Zanzibar kwa wakati huu na kiwango chake cha sasa nafikiri Yanga hata kama wangepewa bure wangemkataa .Cannavaro yupo Yanga kwa mazoea tu na sio kwa talent yake ya zamani mimi sioni chochote kwake zaidi ya ari,hamasa na butua-butua nyingi tu,hajui hata principle of deffence,jambo la pili linalo msumbua ni kiburi na utovu wa nidhamu haswa akiwa ktk tiku ya Taifa ya zanzibar,kisa kwa sababu anajiona ni maarufu sana na yy ni Capt wa Taifa star,naamini kwa uongozi huu wa Malinzi hata hio Taifa star sifikirii kama atachaguliwa tena.Mimi nampongeza koccha Bausi kwa kumuacha.this time timu ya taifa ya zenji imefanya vibaya kwa sababu ya maandalizi mabovu,wachezaji hawana uzoefu wa kutosha.na kwa kweli hawakua wanajielewa nini haswa walichotakiwa kukifanya.Timu ilikua dhaifu sana,imekosa skillfull player.
 
mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,282
Points
1,500

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,282 1,500
.....Ni kweli ndugu kichapo cha Timu ya Taifa ya Zenji kwenye senior Challenge ni cha kujitakia,lakini si kwa sababu ya kumwacha beki makini na mzoefu Nadir cannavaro kama ulivyosema.
Nasema hivyo kwa sababu cannavaro sio beki mzuri hata kidogo kwa wenye kufahamu soka,kinachomsaidia na kumpandisha chati ni Media za Bongo,stile ya soka la bongo.na vile anacheza katika ligi ya Tanzania Bara ndipo anapozidi kupata umaarufu,lakini Haroub huyox2 angekua anacheza katika Ligi ya Zanzibar kwa wakati huu na kiwango chake cha sasa nafikiri Yanga hata kama wangepewa bure wangemkataa .Cannavaro yupo Yanga kwa mazoea tu na sio kwa talent yake ya zamani mimi sioni chochote kwake zaidi ya ari,hamasa na butua-butua nyingi tu,hajui hata principle of deffence,jambo la pili linalo msumbua ni kiburi na utovu wa nidhamu haswa akiwa ktk tiku ya Taifa ya zanzibar,kisa kwa sababu anajiona ni maarufu sana na yy ni Capt wa Taifa star,naamini kwa uongozi huu wa Malinzi hata hio Taifa star sifikirii kama atachaguliwa tena.Mimi nampongeza koccha Bausi kwa kumuacha.this time timu ya taifa ya zenji imefanya vibaya kwa sababu ya maandalizi mabovu,wachezaji hawana uzoefu wa kutosha.na kwa kweli hawakua wanajielewa nini haswa walichotakiwa kukifanya.Timu ilikua dhaifu sana,imekosa skillfull player.
inawezekana Cannavaro ana kasoro zote hizo unazozisema, lakini si kwa kiwango cha kutofaa Zanzibar Heroes ukilinganisha na wachezaji tuliowaona. Siaini kama kwa ubovu wote huo unaohusishwa na Cannavaro, Kenya wangeweza kuipasua kirahisi ngome ya Zanzibar, tena kupitia katikati, tena kwa pasi za visigino, tena karibu kila walipotaka. Kwa maoni ya Bausi, wale ndio hao skillful players aliowaona yeye. Sasa bila ya hao, bila ya Cannavaro na Aggrey ambaye ameachwa pia, tunataka skilful players wepi zaidi? Maandalizi ya timu zetu kwa Challenge ndio hayohayo. Hata mwaka jana yalikuwa hayohayo, na bado Zanzibar walifanya vizuri. Tofauti pekee ya timu yao ya mwaka jana na ya mwaka huu ni ukosefu wa mabeki hao wa kati.
 
Forum statistics

Threads 1,392,140
Members 528,544
Posts 34,099,760
Top