Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,544
- 34,871
Huu si Uungwana hata kidogo, jitahidi kuheshimu wengine.Hakuna watu wasenge kama wachaga na hao wameru
Trust me 4 that point
Huu si Uungwana hata kidogo, jitahidi kuheshimu wengine.Hakuna watu wasenge kama wachaga na hao wameru
Trust me 4 that point
Inaonekana kabisa huijui jamii ya kichaga! Niambie Mmarangu na Mrombo wanaelewana kwa lugha? Wanasalimianaje?Sio kweli mkuu kichaga ni kimoja ni lahaja tu kama kilivyo kiswahili cha unguja,pemba,mombasa,lamu,tanga,na dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mmarangu na mrombo hawa wanaelewana vizuri tu achilia mmachame na mrombo ambao huwezi msema mwenzakeInaonekana kabisa huijui jamii ya kichaga! Niambie Mmarangu na Mrombo wanaelewana kwa lugha? Wanasalimianaje?
Tena mmarangu na mrombo hawa wanaelewana vizuri tu achilia mmachame na mrombo ambao huwezi msema mwenzake
Mchaga haijalishi ni wa wapi hawezi msema mwenzie hata kidogo bila kusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirombo salamu "Habari yapho" kimarangu salamu "shimbony shapho" kuna muingiliano gn apo wakati ata salamu tuu zinaatofautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
idadi hiyo ya silimia sabini kumbuka inapungua kwa kasi kwasababu vijiji vinakuwa miji na miji inakua kasi kiidadi kuliko vijijiniTusijidanganye eti lugha za makabila zitapotea. 70% ya waTZ wanaishi vijijini na wanafyatua kwelikweli. Ukienda shule za misingi ni vilugha tu (hasa Manyara, Wasukuma wote, Kigoma, Singida, Tanga, Wapate). Hao wanaozaliwa mijini mara nyingine wanaoa na kuolewa na waliotoka vijijini hivyo uwezekano wa kupotea ni mdogo.
MkuuZa jioni humu JF
Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha
Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa
Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza
Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.
Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?
Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.
Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.
Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.
#sosad
Sent using Jamii Forums mobile app