Kichaga na lugha za asili kaskazini kutoweka miaka kadhaa ijayo

Inaonekana kabisa huijui jamii ya kichaga! Niambie Mmarangu na Mrombo wanaelewana kwa lugha? Wanasalimianaje?
Tena mmarangu na mrombo hawa wanaelewana vizuri tu achilia mmachame na mrombo ambao huwezi msema mwenzake

Mchaga haijalishi ni wa wapi hawezi msema mwenzie hata kidogo bila kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusijidanganye eti lugha za makabila zitapotea. 70% ya waTZ wanaishi vijijini na wanafyatua kwelikweli. Ukienda shule za misingi ni vilugha tu (hasa Manyara, Wasukuma wote, Kigoma, Singida, Tanga, Wapate). Hao wanaozaliwa mijini mara nyingine wanaoa na kuolewa na waliotoka vijijini hivyo uwezekano wa kupotea ni mdogo.
idadi hiyo ya silimia sabini kumbuka inapungua kwa kasi kwasababu vijiji vinakuwa miji na miji inakua kasi kiidadi kuliko vijijini
pia vijiji vingi vinaongea kiswahili siku hizi, ni vijiji vya milimani sana kusiko na maendeleo ndio lugha za asili huongelewa ila koye kuliko fika shule, dini, barabara na masoko kiswahili ndio kinatawala, kwahiyo kweli miaka kama kumi ama ishirini kiswahili ndio itakuwa lugha pekeea ya watanzania
 
Za jioni humu JF

Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha

Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa

Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza

Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.

Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?

Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.

Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.

Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.

#sosad

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu

Inaanza huko,and then all of Tanzania will lose ethnic languages.

Na hii ni makusudi,they want to make TZ a homogenious society,yaani kabila moja which is not true.

Tunapoteza heritage zote,sio lugha tu....lugha ni 1% tu...

Halafu kuna mapumbavu yanachekelea kama majuha!

Shame on all of us.
 
Wa=Tanzania siyo wabunifu kwa sababu ya jambo dogo sana wanashindwa kulifanyia utafiti

Haya makabila haya tuyaunganishe yooote kila kabila walete neno lao mojamoja kwenye kabila kuu Kiswahili makabila 120 tuunganishe herufi moja moja tupate jina la kabila/ japo jina litakuwa reefu sana lkn litaeleweka maana ndiyo sisi tu Duniani wa kuwa na jina reefu! hata km wengine watafuata lkn sisi tutakuwa wa kwanza. wataonekana wameiga tu
 
acha zife kibantu kitamalaki sisi ni wabantu bana..siyo arusha huko kaskazini tuu!! Barani Africa ukabila unaishaaaaa! ni Bantu swahili kwenda hukoo ili siku turudi kwetu israel kwa Lugha moja ya Kiyahudi cha kale alichoongea yesu ndo kibantu cha leo
 
Back
Top Bottom