Kichaga na lugha za asili kaskazini kutoweka miaka kadhaa ijayo

Baba yangu ni Mwarusha, Mama yangu ni Mchaga, nimezaliwa na kukulia Arusha, lakini ajabu ni kwamba nakijua kichaga(kimarangu) lakini kiarusha dooh!!, kwa kuongezea tu hapo baadhi ya waarusha nao siku hizi hawafundishi watoto wao pia.

Kiarusha ndio lugha gani?

.....Kuna kabila la Waarusha nchi hii?
 
Za jioni humu JF

Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha

Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa

Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza

Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.

Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?

Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.

Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.

Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.

#sosad

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusijidanganye eti lugha za makabila zitapotea. 70% ya waTZ wanaishi vijijini na wanafyatua kwelikweli. Ukienda shule za misingi ni vilugha tu (hasa Manyara, Wasukuma wote, Kigoma, Singida, Tanga, Wapate). Hao wanaozaliwa mijini mara nyingine wanaoa na kuolewa na waliotoka vijijini hivyo uwezekano wa kupotea ni mdogo.
 
Alert nzuri

Aisee, umeongea kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu hata mm nmeona sana
Uchagan watoto n kiswahili tu
Mpaka nashangaa

god is good
 
Sawa kabisa pia kumbuka hakula lugha ina itwa kichaga bali kuna Kimachame, Kiuhuru? Kimarangu, Kirombo, n.k. Zaidi zaidi wachaga wanaolewa sana na makabila mengine hasa Kanda ya Ziwa hivyo ni kweli watapoteza asili yao soon!
Sio kweli mkuu kichaga ni kimoja ni lahaja tu kama kilivyo kiswahili cha unguja,pemba,mombasa,lamu,tanga,na dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusijidanganye eti lugha za makabila zitapotea. 70% ya waTZ wanaishi vijijini na wanafyatua kwelikweli. Ukienda shule za misingi ni vilugha tu (hasa Manyara, Wasukuma wote, Kigoma, Singida, Tanga, Wapate). Hao wanaozaliwa mijini mara nyingine wanaoa na kuolewa na waliotoka vijijini hivyo uwezekano wa kupotea ni mdogo.
Lakini moshi na arusha hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Kichaga tu ni Almost Tanzania nzima...hii imetokana na Muingiliano mkubwa wa watu kwa sasa...

Nakumbuka kipindi nipo Primary na Sasa ni tofauti Siku hizi nikienda Uchagani Wageni ni Wengi tofauti na Zamani utakutana na Sura zile zile Kila Krismasi ila kwa sasa Kuna Mchangangiko wa Makabila Wazaramo siku izi Wapo hadi Kibosho..

Nilishangaa ila ndio ivyo Wenyeji Hawapo wazee ndio hao Tunawazika Kila uchwao kwaio hata zile Tamaduni Ndogo ndogo siku hizi ni Kama hazipo tena. Watoto wenyewe wengi wao ndio hawa wapo mijini kwenda Uchagani ni Mpaka sikukuu.

Hii sio Uchagani tu ni Maeneo mengi sana Hapa Tanzania
Za jioni humu JF

Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha

Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa

Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza

Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.

Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?

Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.

Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.

Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.

#sosad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mtoa mada! Tatizo wazazi wamezembea kuwafundisha watoto wao lugha zao za asili.
 
Back
Top Bottom